26 Feb 2026 1:40 pm | Citizen TV 1,117 views Duration: 2:31 Wafanyabiashara wa nyama katika kichinjio cha Gwa Kung’u eneo bunge la Ndaragwa kaunti ya Nyandarua wamelalamikia kile wanachoita unyanyasaji wa maafisa wa usalama kutoka kituo cha polisi cha Gwa Kung’u.