Wafanyabiashara wa vileo Laikipia waahidi kushirikiana na serikali kwenye vita dhidi ya pombe ghushi

  • | Citizen TV
    290 views

    Wafanyabiashara wa vileo katika kaunti ya laikipia wameahidi kushirikiana na serikali kwenye vita dhidi ya pombe ghushi ambayo imekuwa kero kote nchini.