Wafanyabiashara wa vyuma vikuukuu walaumiwa kwa wizi wa nyaya za umeme

  • | Citizen TV
    231 views

    Miezi chache baada ya serikali ya kitaifa kuondoa marufuku ya ununuzi na uuzaji wa vyuma na vifaa vya mabati kuukuu nchini, muungano wa wafanyabiashara katika sekta hiyo kaunti ya Kakamega umejitokeza na kujitenga na madai kuwa wanashiriki kwa visa vya wizi wa nyaya.