Wafanyabiashara waonyesha hofu maandamano kuathiri biashara tena keho

  • | NTV Video
    345 views

    Baadhi ya wafanyabishara mjini wameonyesha hofu kuhusu maandamano yanayokisiwa kufanyika hapo kesho. Maandamano ya awali yamekuwa kikwazo kwa biashara nyingi mijini haswa yanapongiliwa na wahuni wanaopora mali .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya