Wafanyabiashara wapata hasara kubwa baada ya maduka yao kuvamiwa wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    3,194 views

    Baadhi ya wafanyabiashara katikati ya jiji la Nairobi walipata hasara ya mamilioni baada ya maduka yao kuvamiwa wakati wa maandamano yaliyoingiliwa na magenge hapo jana. Wafanyabiashara hawa wakiripoti kuwa baadhi ya bidhaa zao ziliibwa na watu waliovalia sare za polisi.