Wafanyabiashara wapokea mafunzo ya utunzaji mazingira hasa plastiki zinazoathiri fuo za bahari

  • | Citizen TV
    194 views

    Wafanyabiashara wanaofanya kazi katika fuo za bahari wameanza kupokea mafunzo ya utunzaji mazingira hasa plastiki zinazoathiri viumbe vya baharini.