- 139 viewsWafanyabiashara wanakabiliwa na hasara ya mamilioni ya fedha kutokana na ghasia za maandamano yanayo shuhudiwa nchini Kenya. Hii imetokana na msimamo mkali wa kisiasa wa ambao umepelekea upinzani kuzidisha maandamano kuendelea hadi siku mbili kwa wiki. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ilivyo nchini Kenya na kiasi cha hasara kinacho wakabili wafanyabiashara. Endelea kusikiliza... #wafanyabiashara #hasara #ghasia #maandamano #kenya #siasa #upinzani #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wafanyabiashara wataka serikali izungumze na Raila kumaliza ghasia
- - Duniani Leo ››
- - LIVE| TV47 Matukio ››
- 26 Apr 2024 - Political players argue that the once-unified voice of the Mt Kenya region is now fractured
- 26 Apr 2024 - She found purpose after her two sons were killed by police in 2017
- 26 Apr 2024 - MPs seek to pass a vote of no confidence on the chairpersons
- 26 Apr 2024 - New bill provides that no one can take up the role of chairperson in the latter's absence
- 26 Apr 2024 - Meteorological department said heavy rains are just getting started.
- 26 Apr 2024 - MPs said he obstructed probe and sent emissaries urging them to drop it.
- 26 Apr 2024 - Fearing for their jobs, his bosses have now opted to let him do what he wants
- 26 Apr 2024 - Reading Time: 2 minutes Appreciation of the Kenya shilling against US Dollar has significantly benefited the country’s external debt situation, Central Bank of Kenya […]
- 26 Apr 2024 - Onesimus Muzik, a Malawi-born Afro-pop sensation, has released a video for his hit song "Controller" and is gearing up for an exciting tour across the country. His upcoming collaboration with Kenyan artists promises to ignite even more excitement in the…
- 26 Apr 2024 - Reading Time: 2 minutes The Constitutional amendment legislative proposal intending to increase term limits for the President, Governors, Members of Parliament and Members of […]