Wafanyabiashara watapeli watu wakitumia hofu ya corona

  • | BBC Swahili
    Wafanyabiashara wanavyowatapeli watu wakitumia hofu ya corona Wafanyabiashara wamekuwa wakitumia hofu ya watu juu ya janga la corona na kuwapatia 'kinga gushi'. Miongoni mwao ni wanasiasa wanaodanganywa na kuvalishwa ''Beji za kinga''