Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara waungana kuwasaidia waathiriwa wa saratani Malindi

  • | Citizen TV
    220 views
    Duration: 1:46
    Makundi ya wafanyabiashara mjini malindi kaunti ya Kilifi yamezindua mipango ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa saratani ya matiti katika eneo hilo kama njia mojawapo ya kukabiliana na ugonjwa huo.