Wafanyakazi wa kampuni za usalama wadai malipo ya mshahara wa chini wa elfu-30

  • | KBC Video
    58 views

    Chama cha kitaifa cha wafanyakazi wa kampuni za kibinafsi za usalama humu nchini sasa kinatoa wito wa kutolewa kwa malipo ya mshahara wa chini uliokubaliwa wa elfu-30 kutoka kwa waajiri wao pamoja na kurejeshewa kwa ada za mafunzo ambazo tayari zimekatwa. Chama hicho kimetishia kuitisha mgomo wa nchi nzima wa wafanyikazi wake iwapo matakwa yao hayatashughulikiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive