Wafanyakazi wa KBC wahitimu KIMC baada ya mafunzo maalumu

  • | KBC Video
    Wafanyakazi wa idara ya utayarishaji vipindi ya shirika la utangazaji nchini ,KBC wamefuzu baada ya mafunzo maalumu ya kuwapa ujuzi wa kuwawezesha kutekeleza kwa njia bora zaidi wajibu wao katika sekta ya utangazaji inayokua kwa haraka. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #Training #KBC #KIMC