Mkuu wa utumishi wa umma, Felix Koskei, amesema serikali inawachukulia hatua kali maafisa wa umma na wale wa serikali wanaohusika na mikinzano ya kimaslahi pamoja na ufisadi, ili kurejesha imani ya umma kwa serikali na taasisi za serikali. Haya yanajiri wakati mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, Erastus Ethekon, akiahidi uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa kuaminika mwaka 2027. Wawili hao walikuwa wakihutubia hafla ya ufunguzi wa kongamano la siku tatu la 'Global Trust' jijini Nairobi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive