Wafanyakazi wa Shirika la Mwezi Mwekundu la Palestina wakiipakia miili
Shirika la Mwezi Mwekundu la Palestina Jumanne (Januari 9) liliiondoa miili miwili baada ya raia kushambuliwa kwa mabomu katika kambi ya wakimbizi ya Maghazi katikati mwa Gaza, lilieleza katika mtandao wa kijamii wa X.
Shirika hilo la kibinadamu lilitoa picha za video za wafanyakazi wake wakipakia miili miwili iliyokuwa katika sanda ndani ya gari la wagonjwa.
Shirika la habari la Reuters lilithibitisha tarehe na eneo ilipochukuliwa video hiyo na lilithibitishiwa na mwakilishi wa Mwezi Mwekundu Nebal Fersakh.
Jeshi la Isreali Jumatatu (Januari 8) lilisema limepiga mabomu eneo lililokuwa na silaha katikati ya Maghazi, na Jumanne lilisema ndege yake iliwashambulia wapiganaji wa Hamas katikati ya Gaza ilipo kambi ya wakimbizi.
Eneo la kusini na kati mwa Gaza limekuwa ndiyo linalolengwa na mashambulizi ya Israel, ambapo siku ya Jumamosi (Januari 6) ilitangaza miundombinu ya Hamas upande wa kaskazini imebomolewa.
Majeshi ya Ulinzi la Israel yamekuwa yakipiga mabomu katika eneo la Palestina tangu uvamizi wa Hamas wa mashambulizi ya kuvuka mpaka ya Oktoba 7 ambapo maafisa wa Israeli wanasema watu 1,200 waliuwawa.
Mashambulizi ya Israeli yameua zaidi ya Wapalestina 23,000, kuharibu sehemu kubwa ya Gaza na kuwakosesha makazi wengi angalau kati ya watu milioni 2.3, ikileta hali ya taharuki na mgogoro mbaya sana wa kibinadamu. - Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi
13 Aug 2025
- Wamuchomba took a tough stance while grilling CS Murkomen, resulting in dramatic scenes in Parliament.
13 Aug 2025
- The DP made the announcement at his home in Irunduni.
13 Aug 2025
- The judge ruled on the matter on Wednesday.
14 Aug 2025
- At least 22 migrants died after two boats overturned in the Mediterranean on Wednesday, with more still missing and some 60 survivors, humanitarian agencies said.
14 Aug 2025
- The summit between US President Donald Trump and his Russian counterpart Vladimir Putin will be held at Joint Base Elmendorf-Richardson in Alaska, a White House official said Wednesday.
14 Aug 2025
- Only Ukrainian President Volodymyr Zelensky can negotiate a land deal with Russia in an effort to end Moscow's war against his country, French President Emmanuel Macron said on Wednesday.
14 Aug 2025
- South Africa's unemployment rate rose for the second quarter in a row, official data showed on Tuesday, highlighting one of the biggest challenges faced by the country's year-old coalition government.
14 Aug 2025
- Workers at the Kenya Pipeline Company (KPC) are demanding job security assurances as the government moves to sell a majority stake in the State corporation.
14 Aug 2025
- "Parliament must be called out. Something is going on in our Legislature that we must address. Money is being demanded from the Executive, governors, and ministers—especially those who appear before parliamentary committees for accountability,” said…
14 Aug 2025
- The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) wants victims of protests and demonstrations to receive more than just monetary compensation.
14 Aug 2025
- Housing to remain key at World Urban Forum
14 Aug 2025
- Bulk buyers: What the property market misses in turnaround plan
14 Aug 2025
- KCB shareholders set for record Sh13b dividend boom on half-year profit jump