Wafanyakazi wa vyuo vikuu wagomea kampuni za bima

  • | Citizen TV
    77 views

    Wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma nchini wameendeleza shinikizo kwa serikali na wasimamizi wa taasisi zao wakitaka huduma bora za bima ya afya, wakisema mikataba ya sasa na baadhi ya kampuni za bima haikidhi mahitaji yao ya kiafya