Wafanyakazi zaidi ya 3,700 wa Kilifi wapewa bima ya afya

  • | Citizen TV
    79 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi imezindua bima ya afya kwa wafanyakazi wa kaunti hiyo katika hafla iliyoongozwa na gavana Gideon Mung'aro.