Wafanyibiashara Eastleigh wana wasiwasi

  • | Citizen TV
    2,049 views

    wafanyibiashara mtaani Eastleigh wana wasiwasi baada ya wahuni kuvamia jumba moja la biashara na kuvunja maduka kadhaa. watu hao waliharibu na kupora mali huku mgogoro wa umiliki wa maduka hayo ukitokota