29 Aug 2025 7:22 pm | Citizen TV 9,381 views Duration: 1:59 wafanyibiashara mtaani Eastleigh wana wasiwasi baada ya wahuni kuvamia jumba moja la biashara na kuvunja maduka kadhaa. watu hao waliharibu na kupora mali huku mgogoro wa umiliki wa maduka hayo ukitokota