Wafanyibiashara katika soko la Bokoli, eneo bunge la Webuye walalamikia miundo msingi duni

  • | Citizen TV
    114 views

    Wafanyibiashara katika soko la bokoli, eneo bunge la webuye magharibi wamelalamikia miundo msingi duni kwenye soko hilo ikiwemo ukosefu wa maji safi, vyoo na sehemu ya soko la kufanyia kazi yao.