Wafanyibiashara katika soko la Gatunga waomba serikali kuwajengea maeneo yenye kivuli

  • | Citizen TV
    174 views

    Wafanyibiashara wa mifugo katika soko la Gatunga kaunti ya Tharaka Nithi wanaomba serikali kuwajengea maeneo yenye kivuli katika soko hilo ili kuwawezesha kufanya biashara zao bila ya dhiki. wafanyibiashara hawa wanasema wamekuwa wakilipa ushuru na hali katika soko hilo haijaimarishwa.