Wafanyibiashara kutoka Trans Nzoia walalamikia kucheleweshwa kwa pesa za mgao wa kaunti

  • | Citizen TV
    523 views

    Wafanyibiashara katika kaunti ya Trans-Nzoia wamelalamikia kucheleweshwa kwa pesa za mgao wa kaunti wakisema kuwa mbali na kuchelewesha pesa zao baada ya kukamilisha kufanya biashara na kaunti pia imehujumu miradi ya maendeleo ambayo pia ingesaidia bidhaa zao kununulia na wanakandarasi wengine.