Wafanyibiashara Matasia,kaunti ya Kajiado walalamikia uhalifu kuzidi

  • | Citizen TV
    956 views

    Wafanyibiashara wa vilabu vya burudani eneo la Matasia kaunti ya Kajiado wamelalamikia kuzorota kwa usalama eneo hilo baada ya vilabu vitano kuvunjwa. Majambazi wanadaiwa kuvamia klabu moja jana usiku na kumjeruhiwa bawabu kabla ya kutoweka na mali ya zaidi ya laki tano.