Wafanyibiashara Nairobi na Nakuru wakadiria hasara baada ya maduka yao kuporwa baada maandamano

  • | Citizen TV
    6,486 views

    Wafanyibiashara kadhaa katika kaunti ya Nairobi na Nakuru wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya maduka yao kuporwa na magari kuteketezwa wakati wa maandamano ya saba saba. Aidha, baadhi ya wachuuzi na wenye magari ya usafiri wa umma wanasema kusitishwa kwa shughuli za usafiri kulisababisha hasara kubwa .