Wafanyibiashara wa Busia wadai wenzao wa Uganda wanapendelewa na maafisa

  • | West TV
    Wafanyibiashara katika mji wa Busia katika soko la Posta wamelalamikia kunyanyaswa na maafisa wa kaunti ya Busia wanaohudumu katika soko hilo kwa kuwapendelea wafanyibiashara wa kutoka nchi jirani ya Uganda