Wafanyibiashara wa soko la Dina wameafikiana kufanya uchaguzi ili kumaliza uhasama.

  • | West TV
    44 views
    Baada ya vuta nikuvute kuhusu uongozi wa soko la dina lililo wadi ya matulo eneo bunge la webuye magharibi, sasa wafanyibiashara wameafikiana kufanya uchaguzi ili kumaliza uhasama na tofauti ambazo zimekua zikishuhudiwa kwa muda na kulemaza maendeleo ya soko hilo