wafanyibiashara wa vyuma vikuukuu kusajili biashara upya

  • | Citizen TV
    432 views

    Wachuuzi wote wa vyuma vikuukuu katika kaunti ya kajiado wametakiwa kujisajili ili wahalalishe biashara zao.