Wafanyibiashara wakadiria hasara baada ya maandamano

  • | Citizen TV
    5,860 views

    Kwa mara nyingine tena, wafanyabiashara katikati mwa jiji la Nairobi wamesalia kukadiria hasara kubwa baada ya maandamano ya alhamisi ambayo yaligeuka kuwa ya vurugu. Kile kilichoanza kama mwito wa haki, kimewaacha wafanyabiashara na hasara kubwa.