Wafanyibiashara wakadiria hasara baada ya moto kuteketeza vibanda vyao Gikomba

  • | Citizen TV
    2,345 views

    Wafanyibiashara Katika Soko La Gikomba Wanakadiria Hasara Kubwa Baada Ya Moto Kuteketeza Vibanda Vya Viatu. Japo Chanzo Cha Moto Huo Hakijabainika, Wafanyibiashara Wanalalamika Kuwa Wazimamoto Walichelewa Kufika Na Hivyo Kusababisha Mali Ya Mamilioni Ya Pesa Kuharibika.Na Kama Anavyoarifu Emily Chebet, Wafanyabiashara Hao Wameilaumu Serikali Ya Kaunti Kwa Kushindwa Kuweka Mikakati Ya Kuzuia Kuzuka Kwa Moto Mara Kwa Mara Sokoni Humo.