Wafanyibiashara walalamikia Kufilisika kwa biashara zao msimu huu wanafunzi wanaporejea shuleni

  • | Citizen TV
    1,276 views

    Wanabiashara wa kuuza bidhaa za Wanafunzi kurejea shuleni wamelalamikia Kufilisika kwa biashara zao msimu huu wanafunzi wanaporejea shuleni kutokana na shule nyingi kuanza kuuza bidhaa hizo Shuleni.