Wafanyibiashara walalamikia nyongeza ya ushuru

  • | Citizen TV
    133 views

    Wamiliki wa viwanda nchini wametaja nyongeza ya ushuru na gharama ya utengenezaji bidhaa nchini kama chanzo cha kupanda kwa bei za bidhaa nchini.