Wafanyibiashara walioathirika na tandavu ya Corona kaunti ya Migori wajipekua pekua

  • | Citizen TV
    Asilimia sitini ya wafanyibiashara haswa wachuuzi walioathirika na janga la corona wameanza mikakati ya kujikwamua na kurejesha hali yao kuwa kawaida. Wafanyibiashara hao japo wanakiri kuwa hali ya maisha imekuwa ngumu, kwa sasa wako na wingi wa matumaini kwamba kwa ushirikiano na washika dau mbali mbali wataimarisha biashara zao tena. James Latano anatujuza mengi kutoka Migori