Wafanyibiashara wanaoelekea Sudan Kusini wanahangaika

  • | Citizen TV
    1,468 views

    Waendesha magari waliokuwa wamefurahia ujenzi wa barabara ya lami kutoka Lochwangkamatak hadi Nakodok mpakani mwa Kenya na Sudan kusini,wanaendelea kutaabika baada ya sehemu ya barabara hiyo kuingia Sudan kusini kukosa kukamilika kwa miaka tano sasa ,kutokana na mzozo wa mpaka