5 Nov 2025 1:21 pm | Citizen TV 226 views Duration: 1:38 Wawekezaji wa mbao, wazee na vyama vya jamii za misitu kutoka Bonde la Ufa na Magharibi mwa Kenya wamepinga zabuni ya shirika la Huduma ya Misitu KFS ya kuvuna ekari 45,000 za miti iliyokomaa.