Wafanyibiashara za mitandaoni kutaka sheria kuhusu ushuru wa kidijitali kufanyiwa marekebisho

  • | KBC Video
    31 views

    Wafanyibiashara za mitandaoni wanataka sheria kuhusu ushuru wa mauzo na biashara za kidijitali kufanyiwa marekebisho mwezi mmoja tangu ianze kutekelezwa. Wadau hao wanadai kuwa ushuru wa asilimia 3 wa thamani ya bidhaa zinazouzwa kidijitali ni adhabu na tishio kwa sekta hiyo tegemezi. Kwingineko, kufikia sasa shirika la kitaifa la utafiti wa jeolojia limetambua maeneo 970 yalio na madini katika kaunti zote-47 humu nchini. Waziri wa madini Salim Mvurya amesema serikali inapania kuongeza kiwango cha mapato yanayotokana na madini kutoka asilimia moja hadi asilimia 10 ya pato jumla la taifa katika muda wa miaka mitatu ijayo. Hapa ni tasnifu ya mkusanyiko wa habari za biashara

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive