Wafanyikazi 2 wa Wells Fargo wahusishwa na wizi wa Ksh. 94 za maduka ya Quickmart

  • | Citizen TV
    5,917 views

    Maafisa wa upelelezi katika eneo la Langata wanawasaka watu watatu wakiwemo wafanyikazi wawili wa kampuni ya Wells Fargo wanaodaiwa kuiba zaidi ya shilingi milioni 94. Pesa hizo zilikuwa zimekusanywa kutoka kwa maduka ya jumla ya Quickmart na zilikuwa zikipelekwa katika benki kwenye barabara ya Kenyatta Avenue jijini Nairobi.