Wafanyikazi 5 wa kaunti ya Kilifi ni miongoni mwa watu-15 walioangamia kwenye ajali ya barabarani

  • | KBC Video
    Wafanyikazi watano wa serikali ya kaunti ya Kilifi ni miongoni mwa watu-15 walioangamia leo asubuhi kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha magari mawili ya uchukuzi wa umma kwenye barabara kuu ya Malindi-Mombasa. Watu wengine 14 walipata majeraha mabaya kufuatia ajali hiyo. Na katika kaunti ya Kisumu, watu watatu walifia katika ajali iliyotokea kwenye barabara ya Nyamasaria. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive