Wafanyikazi 'hewa' Nandi

  • | Citizen TV
    210 views

    Wafanyikazi 460 waliowasilisha kesi mahakamani baada ya kuachishwa kazi na serikali ya Kaunti ya Nandi kwa msingi kuwa walikuwa wafanyikazi hewa wamepata afueni ya muda baada ya Mahakama ya Leba na ajira jijini kuagiza wasalie kazini hadi kesi hiyo itakaposikizwa mwezi ujao