- 1,276 viewsDuration: 2:41Vuta nikuvute ilishuhudiwa mchana kutwa katika msitu wa karura jijini nairobi, baada ya wafanyikazi na usimamizi wa msitu huo kuandamana kupinga agizo la idara ya huduma za misitu la kusitisha malipo kwa usimamizi huo. Mkurugenzi wa kfs ameamuru malipo yanayotolewa na wageni yawasilishwe kwenye akaunti ya serikali ya E- citizen kama ilivyoagizwa na Rais William Ruto