Wafanyikazi wa afya kaunti ya Kisii wadai kuhangaishwa kazini

  • | Citizen TV
    350 views

    Viongozi wa kitaifa wa miungano yote ya kutetea haki za wafanyikazi katika sekta ya afya sasa wametoa ilani ya siku 14 kwa serikali ya kaunti ya Kisii kushughukilia matakwa ya wafanyikazi wanaodai kuhangaishwa wanapoendelea na kazi zao.