Wafanyikazi wa kampuni ya Baroda wagoma

  • | Citizen TV
    381 views

    Shuguli za kawaida zilisimama kutwa nzima katika kampuni ya kutengeneza Vigae ya Baroda iliyoko Isinya kaunti ya Kajiado baaada ya wafanyikazi kugoma wakilalamikia malipo na mazingira duni ya kufanyia kazi.