Wafanyikazi wa Kenya Power wafanya maandamano wakilalamikia kudhulumiwa

  • | Citizen TV
    4,695 views

    Wafanyikazi wa Kampuni ya Umeme ya Kenya tawi la Kitengela wamefanya maandamano kupinga wanachokitaja kama dhuluma kwa mmoja wa wafanyikazi wenzao.