Wafanyikazi wa Nzoia Sugar walilia mshahara wa miezi mitatu

  • | Citizen TV
    319 views

    Huku Kaunti ya Bungoma inapoendelea na mipango ya kuandaa sherehe za 61 za siku ya madaraka,wafanyikazi wa kiwanda cha sukari cha nzoia hawana sababu ya kusherehekea baada ya kukosa kulipwa malimbikizi yao ya mishahara.