Skip to main content
Skip to main content

Wafanyikazi wa Posta, Embu, waandamana kudai mishahara yao ya miezi mitano

  • | NTV Video
    183 views
    Duration: 1:40
    Shughuli za kazi katika kituo cha Posta cha Embu zimesimama baada ya wafanyakazi kubwaga zana za kazi ili kudai mishahara yao ya miezi mitano. Wafanyakazi hao wameapa kuendelea na mgomo hadi serikali isikie kilio chao na kuwalipa malimbikizi ya mishahara yao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya