Wafanyikazi walio na ujuzi sasa hawatahitajika kutimiza masharti magumu ya ajira nchini Ujerumani

  • | KBC Video
    11 views

    Wataalamu kutoka Kenya na wafanyikazi wengine walio na ujuzi sasa hawatahitajika kutimiza masharti magumu ya ajira ili kupata nafasi za kazi nchini Ujerumani. Hii ni baada ya Rais Willam Ruto kutia saini makubaliano ya uhamiaji wa wafanyikazi baina ya Kenya na Ujerumani huko Berlin leo. Rais Ruto pia aliongoza shughuli ya kutia saini mkataba wa maelewano wa mradi wa majaribio ya ajira ughaibuni kati ya wakala wa kushughulikia ajira ughaibuni, wizara ya mashauri ya kigeni ya Kenya na Chama ya wafanyibiashara wa Hamburg. Regina Manyara atuarifu kutoka Berlin.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive