Wafanyikazi watano wa kaunti ya Machakos, wameshtakiwa wadaiwa kuiba dawa kutoka kwa zahanati mbili

  • | Citizen TV
    115 views

    Wafanyikazi watano wa kaunti ya Machakos wameshtakiwa kwa tuhuma za wizi wa dawa kutoka kwa vituo viwili vya afya katika eneo la Masinga. Sherehe za kukamilisha tohara kwa zaidi ya warani 5000 wa jamii ya ilchamus kwa miaka 10 ijayo ilinoga katika eneo la Meisori,Baringo kusini.