Wafuasi na viongozi wa upinzani wajumuika nchini

  • | Citizen TV
    2,102 views

    Viongozi mbalimbali wa upinzani waliongoza mamia ya wakaazi katika maeneo tofauti nchini kushiriki zoezi la ukumbusho wa waathiriwa wa maandamano nchini.