Wafuasi wa Ford Kenya waunga mkono mazungumzo baina ya serikali na upande wa Azimio

  • | Citizen TV
    152 views

    Wafuasi wa chama cha Ford Kenya Kaunti ya Busia vilevile wameunga mkono mazungumzo ya pande zote mbili za kisiasa wakisisitiza lisiwe swala la kugawana vyeo serikalini. viongozi hao wamemtaka Raila Odinga kukubali ushindi wa Rais Ruto na kushirikiana naye kwa manufaa ya wakenya. viongozi hao wanatumai kuwa mazungumzo hayo yataboresha uchumi wa nchi.