Wafuasi wa Mwanzilishi wa WikiLeak waandamana nje ya mahakama Uingereza

  • | VOA Swahili
    84 views
    Julian Assange, mwanzilishi wa tovuti ya ufichuzi ya WikiLeaks, wiki hii alianza juhudi za mwisho za kisheria, za kupinga kurejeshwa kwake nchini Marekani kutoka Uingereza, akikabiliwa na kesi ya madai ya ujasusi, kuhusiana na uchapishaji wa maelfu ya jumbe za kidiplomasia za Marekani na nyaraka za kijeshi zilizoibwa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.