Wafugaji 2,500 wapewa msaada wa chakula cha samaki katika kaunti ya Siaya

  • | Citizen TV
    258 views

    Wafugaji 2500 katika kaunti ya Siaya wanaoendeleza ufugaji wa Samaki wamepigwa jeki na serikali ya kaunti hiyo kupitia msaada wa chakula cha Samaki cha kima cha shilingi milioni 28.6. Vyakula ambavyo vimetengenezwa na kiwanda cha Greak Lakes Feeds kilichoko Siaya.