Wafugaji Baragoi wapata mafunzo na ala za kazi ili kuwawezesha kujikimu maishani na kuasi uvamizi

  • | Citizen TV
    106 views

    Wafugaji katika eneo la Baragoi wamepata mafunzo na ala za kazi ili kuwawezesha kujikimu maishani na kuasi uvamizi ambao umesababisha vifo vya makumi ya watu eneo hilo na aumaskini unaotokana na wizi wa mifugo