Wafugaji Kajiado watoa maoni kuhusu mswada wa maziwa

  • | Citizen TV
    220 views

    Wafugaji katika kaunti ya Kajiado wameunga mkono mswada unaolenga kufanyia marekebisho sheria kuhusu biashara ya Maziwa. wakazi wa kajiado wamekuwa wakitoa maoni yao kabla ya mswada huo kuwasilishwa katika bunge la Kitaifa. kwenye kikao cha kukusanya maoni kilichoandaliwa na bodi ya maziwa nchini, wakazi wanasema sheria hiyo itasaidia kuwaondoa madalali na hivyo kumpa mfugaji faida kutokana na maziwa.